Mwanadada Wema Sepetu ambae hivi karibuni alipata umaarufu mkubwa baada ya kujiunga na
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameibuka tena na kutangaza kurejea katika
chama chake cha awali CCM na aliyaandika maneno haya katika ukurasa wake wa Instagram
"Siwezi Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani... Peace of mind is everything for me... Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani.... #ThereIsNoPlaceLikeHome... Feels good to be Back..."
No comments:
Post a Comment